K E N Y A N S . O R G - The Largest Kenyan Picture Gallery
K E N Y A N S . O R G

Gallery || Forum ||Dating || Chat Room || Links ||Guest Book || Contacts

« more
· more »

« Previous Media · Next Media »

French_Boy_ft_Ray_C_-_Moto_moto


« Previous Media  · Slide Show · Next Media »

admin

Registered: December 2004
Posts: 10,100
users gallery
Artist: French Boy & Ray C
Song: Moto Moto
Year: 2010
Producer: R-Kay
Record Label: Flame International
Language: Kiswahili, French


Verse 1 (Ray C)
nilishasema
sitokuja penda tena
na nikasema
sitoumizwa tena
nikaja kutana
na kijana wa Nairobi
anipenda
nashindwa kukataa
mapenzi moto moto
anilea ka mtoto


penzi lake lanimaliza
nampenda sijiwezi


Chorus (Ray C)
moto moto
penzi lake moto moto
moto moto
penzi moto moto
(French Boy)
moto moto
penzi lake moto moto
moto moto
penzi moto moto


Verse 2 (French Boy)
nimependa huyu dame
kwangu ye ni malaika
urembo wake wajiuza
my cherie nimedata
oh no nimechizi
mpaka sijiwezi
na siwezi ishi bila ye
ndiye mahabubu
yeye hunitibu
ye ndio tabibu
kwaya nayo ni sibu


penzi lake lanimaliza
nampenda sijielewi


Chorus (French Boy)
moto moto
penzi lake moto moto
moto moto
penzi moto moto
(Ray C)
moto moto
penzi lake moto moto
moto moto
penzi moto moto


Verse 3
ni hot
inachoma
her love for me
makes me sing ooh


ni hot
inachoma
her love for me...


Chorus (Ray C)
moto moto
penzi lake moto moto
moto moto
penzi moto moto
(French Boy)
moto moto
penzi lake moto moto
moto moto
penzi moto moto
· Date: 20, October. 2010 · Views: 2,053 · Filesize: 19914.0kb ·
Quick Rate: Poor Excellent
Keywords: French_Boy_ft_Ray_C_-_Moto_moto


Powered by: PhotoPost PHP
Copyright 2011 All Enthusiast, Inc.


©Kenyans.Org | Established 2005 ~ A Mashariki Media Company. All Rights Reserved.